HomeNotesKISWAHILI SECONDARY NOTESUFAAFU WA ANWANI MWONGOZO WA MAPAMBAMZUKO YA MCHWEO

UFAAFU WA ANWANI MWONGOZO WA MAPAMBAMZUKO YA MCHWEO

CLICK TO JOIN TEACHERS TELEGRAM GROUP

UFAAFU WA ANWANI MWONGOZO WA MAPAMBAMZUKO YA MCHWEO

UFAAFU WA ANWANI MWONGOZO WA MAPAMBAMZUKO YA MCHWEO

➢ Luka analiuza kanisa ambalo limemfaa muda mrefu na kumpa umaarufu nchini.
➢ Baada ya Luka kumrai Lilia kuacha kazi anakuja kumdharau na hata kumdhihaki kuwa kazi yake ni kula na kulala tu.
➢ Baada ya Luka kuchaguliwa gavana anasahau na kukosa kutimiza ahadi zote za kisiasa alizowaahidi.
➢ Baada ya Senior Pastor Lee Imani, babake Lilia, kumkubalia Luka kumwoa Lilia,Luka alipuuza baraka alizopewa na babake Lilia akamtesa mkewe.


➢ Luka hahuzuniki Lilia anapopoteza ujauzito uliotoka kutokana na Lilia kukesha usiku kucha akisubiri mumewe ambaye hakurudi nyumbani usiku huo.
➢ Baada ya Lilia kumpenda Luka hata akamrai babake kukubali uchumba “‘.vao, Luka analipa kwa uzinzi na mapigo.

MOI,KABARAK AND SACHO (MOKASA) SCHOOL MOCKS QUESTION PAPERS AND MARKING SCHEMS

KENYA HIGH MOCKS 2022 QUESTIONS AND MARKING SCHEMES FREE DOWNLOAD

MARANDA POST MOCKS 2022 PAPERS AND MARKING SCHEMES FREE DOWNLOAD

➢ Lilia anapomtembelea mumewe ofisini kumwona katikati ya juma na kusubiri hadi arudi, mumewe anaporudi na kumpata mapokezini anamfokea na kumwelekeza arudi nyumbani.
➢ Baada ya Lilia kuandamana na mumewe kwenye hafla ya kisiasa anapotafuta kura,akishakuwa Gavana anamshauri arejee kuishi kijijini ambapo kwa nadra angemwona mwishoni mwa wiki.
➢ Jioni Luka aliporejea nyumbani Lilia alienda kumfungulia mlango kwa hamu kuu ila badala ya salamu na dundu la mumewe, alipokezwa kofi na teke.


➢ Luka anamtawisha Lilia nyumbani na kumpigia marufuku ya kutoka nyumbani. Hii ni kwa sababu aliogopa Lilia angetoka nje ingemwanika mbcle ya wapinzani wake. Awali Luka alipenda kutembea na mkewe ili aonekane kama mwanafalüilia bora.
➢ Hawara wa Luka aliyeaminiwa kuwa mshauri wake, anamtoroka baada ya ajali licha ya kuwa naye kila wakati na kujistarehesha kila wakati


➢ Badala ya Lilia kurithi mali/biashara ya babake (kanisa), ni mumewe ndiye anayelirithi. Kanisa hili lilianzishwa na babake Lilia.
➢ Ni jukumu la wanawake kunyamazia maovu kwenye ndoa ili kudumisha amani kwenye ndoa zao.(uk 5)
➢ Wanawake wanatumiwa na waume zao ili kusawiri hadhi bora kifamilia. Luka anamwandama Lilia ubavuni mwake kama taswira ya kiongozi anayethamini ndoa na familia yake. Lengo lake ni kuchaguliwa na raia.(uk 5)


➢ Lilia angekataa kuandamana na mumewe anatusiwa kuwa mnene kama nguruwe na kuwa hana kazi maalumu.(uk 5)
➢ Wanawake kama Lilia wakikataa kutekeleza haja za waume zao hutishiwa. Lilia anatishiwa kuwa wanawake ni wengi.(uk 5)
➢ Wanawake wanatumiwa kama vyombo vya starehe. Luka ana hawara tele licha ya kuwa na mke.(UK 5)
➢ Wanawake huwangoja ‘.vaurne zao kurejea nyumbani kabla hawajalala.Lilia anamgojea Lukausiku kucha hadi anapoteza ujauzito.(UK 5)


➢ Luka anamtenga Lilia kuishi kijijini ili kuwahakikishia raia wapiga kura kuwa Gavana yu karibu.(UK 5)
➢ Wanawake wanahita)i miadi kabla hawajawatembelea waume zao. Luka anamfahamisha Lilia kuwasiliana na mhazili wake akapewe miadi ndiposa amtembelee.(uk 6)
➢ Wanawake wananyimwa nafasi ya kutoka nyumbani. Luka anamtisha Lilia kuwa akitoka nje ya lango atajua kilichomtoa kanga manyoya shingoni. Wanawake wanatengwa na marafiki zao. Lilia amejitenga na marafiki take maanake kila wakimtembelea mumewe anajua na kuishia kumpa kichapo.(uk 6)

2020 KCPE PAST PAPERS QUESTIONS AND MARKING SCHEMES FREE ACCESS

KAPSABET BOYS HIGH SCHOOL MOCKS 2020 QUESTIONS AND MARKING SCHEMES

BUNAMFAN JOINT MOCK 2021 DECEMEBER QUESTION PAPERS AND MARKING SCHEMES

CLICK TO JOIN TEACHERS TELEGRAM GROUP
Webmaster
Webmasterhttps://elimucentre.co.ke
Giving back to the Society by using all resources available to help young people move up in academic ladder and also change the upcoming society.
RELATED ARTICLES
- Advertisment -

Most Popular

- Advertisment -
- Advertisment -